1<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?> 2<!-- 3/** 4 * Copyright (c) 2009, The Android Open Source Project 5 * 6 * Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License"); 7 * you may not use this file except in compliance with the License. 8 * You may obtain a copy of the License at 9 * 10 * http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0 11 * 12 * Unless required by applicable law or agreed to in writing, software 13 * distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS, 14 * WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied. 15 * See the License for the specific language governing permissions and 16 * limitations under the License. 17 */ 18 --> 19 20<resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android" 21 xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2"> 22 <string name="dock_alignment_slow_charging" product="default" msgid="6997633396534416792">"Pangilia tena simu ili ichaji kwa kasi"</string> 23 <string name="dock_alignment_not_charging" product="default" msgid="3980752926226749808">"Pangilia tena simu ili ichaji bila kutumia waya"</string> 24 <string name="inattentive_sleep_warning_message" product="tv" msgid="6844464574089665063">"Kifaa cha Android TV kitazima hivi karibuni; bonyeza kitufe ili kisizime."</string> 25 <string name="inattentive_sleep_warning_message" product="default" msgid="5693904520452332224">"Kifaa kitazima hivi karibuni; bonyeza ili kisizime."</string> 26 <string name="keyguard_missing_sim_message" product="tablet" msgid="408124574073032188">"Hakuna SIM kwenye kompyuta kibao."</string> 27 <string name="keyguard_missing_sim_message" product="default" msgid="2605468359948247208">"Hakuna SIM kwenye simu."</string> 28 <string name="kg_invalid_confirm_pin_hint" product="default" msgid="6278551068943958651">"Misimbo ya PIN haifanani"</string> 29 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_wipe" product="tablet" msgid="302165994845009232">"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."</string> 30 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_wipe" product="default" msgid="2594813176164266847">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."</string> 31 <string name="kg_failed_attempts_now_wiping" product="tablet" msgid="8710104080409538587">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."</string> 32 <string name="kg_failed_attempts_now_wiping" product="default" msgid="6381835450014881813">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."</string> 33 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_erase_user" product="tablet" msgid="7325071812832605911">"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."</string> 34 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_erase_user" product="default" msgid="8110939900089863103">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."</string> 35 <string name="kg_failed_attempts_now_erasing_user" product="tablet" msgid="8509811676952707883">"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."</string> 36 <string name="kg_failed_attempts_now_erasing_user" product="default" msgid="3051962486994265014">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."</string> 37 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_erase_profile" product="tablet" msgid="1049523640263353830">"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."</string> 38 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_erase_profile" product="default" msgid="3280816298678433681">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g> bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."</string> 39 <string name="kg_failed_attempts_now_erasing_profile" product="tablet" msgid="4417100487251371559">"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."</string> 40 <string name="kg_failed_attempts_now_erasing_profile" product="default" msgid="4682221342671290678">"Umejaribu kufungua simu mara <xliff:g id="NUMBER">%d</xliff:g> bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."</string> 41 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_login" product="tablet" msgid="1860049973474855672">"Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g>. Baada ya majaribio <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g> zaidi bila mafanikio, utaombwa ufungue kompyuta yako kibao kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde <xliff:g id="NUMBER_2">%3$d</xliff:g>."</string> 42 <string name="kg_failed_attempts_almost_at_login" product="default" msgid="44112553371516141">"Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara <xliff:g id="NUMBER_0">%1$d</xliff:g>. Ukikosea mara nyingine <xliff:g id="NUMBER_1">%2$d</xliff:g>, utaombwa ufungue simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde <xliff:g id="NUMBER_2">%3$d</xliff:g>."</string> 43 <string name="thermal_shutdown_title" product="default" msgid="8039593017174903505">"Simu imezimika kwa sababu ya joto"</string> 44 <string name="thermal_shutdown_title" product="device" msgid="2954206342842856379">"Kifaa kimezimika kwa sababu ya joto"</string> 45 <string name="thermal_shutdown_title" product="tablet" msgid="8941033526856177533">"Kishikwambi kimezimika kutokana na joto"</string> 46 <string name="thermal_shutdown_message" product="default" msgid="6685194547904051408">"Simu yako sasa inafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 47 <string name="thermal_shutdown_message" product="device" msgid="3039675532521590478">"Kifaa chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 48 <string name="thermal_shutdown_message" product="tablet" msgid="5285898074484811386">"Kishikwambi chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 49 <string name="thermal_shutdown_dialog_message" product="default" msgid="6145923570358574186">"Simu yako ilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo imezimika ili ipoe. Simu yako sasa inafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda simu yako ikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia simu mahali palipo na joto jingi"</string> 50 <string name="thermal_shutdown_dialog_message" product="device" msgid="3647879000909527365">"Kifaa chako kilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo kimezimika ili kipoe. Kifaa chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda kifaa chako kikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia kifaa mahali palipo na joto jingi"</string> 51 <string name="thermal_shutdown_dialog_message" product="tablet" msgid="8274487811928782165">"Kishikwambi chako kilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo kimezimika ili kipoe. Kishikwambi chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda kishikwambi chako kikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia kishikwambi mahali palipo na joto jingi"</string> 52 <string name="high_temp_title" product="default" msgid="5365000411304924115">"Simu inapata joto"</string> 53 <string name="high_temp_title" product="device" msgid="6622009907401563664">"Kifaa kinapata joto"</string> 54 <string name="high_temp_title" product="tablet" msgid="9039733706606446616">"Kishikwambi kinapata joto"</string> 55 <string name="high_temp_notif_message" product="default" msgid="3928947950087257452">"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati simu inapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 56 <string name="high_temp_notif_message" product="device" msgid="6105125771372547292">"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati kifaa kinapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 57 <string name="high_temp_notif_message" product="tablet" msgid="7799279192797476850">"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati kishikwambi kinapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"</string> 58 <string name="high_temp_dialog_message" product="default" msgid="4272882413847595625">"Simu yako itajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia simu yako, lakini huenda ikafanya kazi polepole.\n\nSimu yako ikipoa, itaendelea kufanya kazi inavyostahili."</string> 59 <string name="high_temp_dialog_message" product="device" msgid="263861943935989046">"Kifaa chako kitajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia kifaa chako, lakini huenda kikafanya kazi polepole.\n\nKifaa chako kikipoa, kitaendelea kufanya kazi inavyostahili."</string> 60 <string name="high_temp_dialog_message" product="tablet" msgid="5613713326841935537">"Kishikwambi chako kitajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia kishikwambi chako, lakini huenda kikafanya kazi polepole.\n\nKishikwambi chako kikipoa, kitaendelea kufanya kazi inavyostahili."</string> 61 <string name="security_settings_sfps_enroll_find_sensor_message" product="tablet" msgid="3726972508570143945">"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kompyuta kibao."</string> 62 <string name="security_settings_sfps_enroll_find_sensor_message" product="device" msgid="2929467060295094725">"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kifaa."</string> 63 <string name="security_settings_sfps_enroll_find_sensor_message" product="default" msgid="8582726566542997639">"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa simu."</string> 64 <string name="global_action_lock_message" product="default" msgid="7092460751050168771">"Fungua simu yako ili upate chaguo zaidi"</string> 65 <string name="global_action_lock_message" product="tablet" msgid="1024230056230539493">"Fungua kompyuta yako kibao ili upate chaguo zaidi"</string> 66 <string name="global_action_lock_message" product="device" msgid="3165224897120346096">"Fungua kifaa chako ili upate chaguo zaidi"</string> 67 <string name="media_transfer_playing_this_device" product="default" msgid="5795784619523545556">"Inacheza kwenye simu hii"</string> 68 <string name="media_transfer_playing_this_device" product="tablet" msgid="222514408550408633">"Inacheza kwenye kompyuta hii kibao"</string> 69</resources> 70